Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Hebu tulio nje kwa sasa tupe screen shot ya Hilo gazeti au ukiweza makala nzima ili tuweze kuchangia
RAI MWEMA.jpg
 
Gazeti la Raia Mwema la jumamosi, 15 May 2021 limeripoti kuwa DC aliyefurushwa huko Hai, Lengai Ole Sabaya (34) amepekuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama na kukutwa na ukwasi wa zaidi ya TZS 3 Bilioni. Kwa mujibu wa gazeti hilo baadhi ya fedha zimekutwa nyumbani kwake na nyingine kwenye taasisi mbalimbali za fedha.!
Hilo gazeti limekuwa msemaji wa polisi/takukuru na hata wa bandari mlipayuka hivi hivi, hilo gazeti la kufungia utumbo tu na hawa ndio waandishi Haji Manara anawaita taka taka tu.
 
b3 kama ni tsh izo ni mapipa manne ya elfkumikumi. so alikuwa anajaza hapo kila siku akizipata?
 
Hilo gazeti limekuwa msemaji wa polisi/takukuru na hata wa bandari mlipayuka hivi hivi, hilo gazeti la kufungia utumbo tu na hawa ndio waandishi Haji Manara anawaita taka taka tu.
Kwani wewe unajua amekutwa na shilingi ngapi?
 
Hilo gazeti limekuwa msemaji wa polisi/takukuru na hata wa bandari mlipayuka hivi hivi, hilo gazeti la kufungia utumbo tu na hawa ndio waandishi Haji Manara anawaita taka taka tu.
Unaumia ukiwa Hai nadhani
 
Gazeti la Raia Mwema la jumamosi, 15 May 2021 limeripoti kuwa DC aliyefurushwa huko Hai, Lengai Ole Sabaya (34) amepekuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama na kukutwa na ukwasi wa zaidi ya TZS 3 Bilioni. Kwa mujibu wa gazeti hilo baadhi ya fedha zimekutwa nyumbani kwake na nyingine kwenye taasisi mbalimbali za fedha.!
Apekuliwe kwani yuko chini ya ulinzi? Pambafu nyumbu nyie.
 
Jambazi Ole sabaya.hizo hela warudishiwe wafanyabiashara hela zao.
 
Back
Top Bottom