Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

Japo siyaamini hayo magazeti sana ila kama kuna ukweliwa hilo basi ndo mwisho wa Sabaya.
Alafu sijui wanaomtetea wanamtete kwasababu zipi.
Kuna watu hata picha hawaoni mana kusoma hawaezi.

Kwa wizi alioufanya nahisi Bilioni 3 bado ni ndogo.
 
Ingawa ni kweli Sabaya alikuwa ni mporaji na jambazi lililojificha kwenye uvungu wa kitanda kinachoitwa ccm, ila hii taarifa siimani hata kidogo.

Bilioni 3 zote hizo amezipata wapi ndani ya muda mfupi wa U DC wake hapo Hai?
 
Mzee wa vijisent alipobainika kuwa na fedha nje ya nchi, alisema fedha zile (sikumbuki kiasi) zilkuwa ni vijsenti tu bila shaka akimanisha kuna wenzake (probably mabosi wake) walikuwa na ukwasi mkubwa zaidi.

Sasa kwa concept hiyo hiyo, Kama Sabaya kakutwa na bilioni 3, je waliokuwa wanamkingia kifua (pengine ndio walikuwa wakimtuma) watakuwa na fedha kiasi gani?

Bado kuna yule anaesuburi kuapishwa ambae nae anatuhumiwa kuchukua fedha za watu kinyume na utaratibu na kuziweka katika akaunti yake pale Benki Kubwa.

Hii nchi inachosha sana!
 
Magufuli aliipeleka hii nchi pabaya sana
Fisadi aliejificha kwenye propaganda ya kuchapa kazi!
1621258979442.jpg
 
Ingawa ni kweli Sabaya alikuwa ni mporaji na jambazi lililojificha kwenye uvungu wa kitanda kinachoitwa ccm, ila hii taarifa siimani hata kidogo.

Bilioni 3 zote hizo amezipata wapi ndani ya muda mfupi wa U DC wake hapo Hai?
Pengine alikua na juhudi za kupora mpaka akapiga noti kiasi hicho!
 
we babako amekupeleka pazuri kuendelea na umbea huu
Kuna kitu kinashangaza, baada ya JK kutoka madarakani watu walizungumza mazuri yake na mabaya kwa kheri kabisa.
Lakini Magufuli mazuri yana zungumzwa kwa kulazimisha na mabaya yakitajwa yanabishiwa kwa matusi na ghadhabu kuu mno kwa nini?
Nafikiri kwa Magufuli kuna kasoro kubwa ndio maana inatumika nguvu kubwa kuficha mambo
 
Mhhhhh! Kama hii ni kweli basi ni hatari tupu! Yule Bashite pia kapata utajiri mkubwa kwa kutisha wafanya biashara na kukusanya/kuwapora pesa nyingi.
Kutajirika nalo kosa jamani?
 
Mzee wa vijisent alipobainika kuwa na fedha nje ya nchi, alisema fedha zile(sikumbuki kiasi) zilkuwa ni vijsenti tu bila shaka akimanisha kuna wenzake ( probably mabosi wake) walikuwa na ukwasi mkubwa zaidi.

Sasa kwa concept hiyo hiyo, Kama Sabaya kakutwa na bilioni 3, je waliokuwa wanakingia kifua( pengine ndio walikuwa wakimtuma) watakuwa na fedha kiasi gani?

Bado kuna yule anaesuburi kuapishwa ambae nae anatuhumiwa kuchukua fedha za watu kinyume na utaratibu na kuziweka katika akaunti yake pale Benki Kubwa.

Hii nchi inachosha sana!
Balaa tupu
 
Lengai Ole Sabaya alikuwa anatembea na dola za marekani tu, msaidizi wake ndiye alikuwa anapewa jukumu la kwenda kuzibadilisha mitaani, hizo fedha alizitoa wapi? ni dili la dhahabu alilowapiga wafanyabiashara fulani huko Hai ambao mapande ya dhahabu hayo walikuwa wameyaficha kwenye kiti na kuchomelea kisawasawa, kupitia vijana wake, sabaya alilikamata gari hilo na kumwamuru OCD gari hiyo ifanye doria kwa siku hiyo pasipo Sabaya kumweleza uwazi OCD wafanyabiashara hao walitaka kumuhonga milioni 50 hadi 100 OCD na kijana wa Sabaya ambaye aliwekwa kwenye doria katika gari hilo kimkakati kwa ajili ya kumpa sabaya taarifa zote zitakazojiri kutoka kwa wafanyabiashara hao, DSO alipopenyezewa taarifa hizo alianza kufuatilia taarifa hizo na dhahabu hiyo, lakini Ole Sabaya aliamuru DSO huyo ashughulikiwe na vijana wake, na DSO alipigwa sana hadi akapelekwa kulazwa hospitali, Sabaya aliichukua ile dhahabu yote ikawa mali yake binafsi, DSO alipotoka hospitali aliandaa report yake akaituma hadi kumfikia Rais, Magufuli alimuita Sabaya ikulu akamhoji kuhusu tuhuma hizo, lakini Sabaya ili kumfurahisha Magufuli akamweleza kwamba ni fedha siyo dhahabu zilizokuwa zimepelekwa Hai na Mbowe ili achukue jimbo yeye akawa amezikamata.....mambo ni mengi sana....lakini naona faili lake lilisahulika mezani kwa Rais hadi Samia kulikuta.

Vile vile, jiulize ni kwa nini wilaya ya HAI ilikuwa ni ya 5 -6 katika kukusanya mapato ya serikali, ukishajua ndo uelewe umafia mwingine wa sabaya aliowafanyia wafanyabiashara ili kumfurahisha Magu
 
Back
Top Bottom