ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 907
Halafu kuna Mtu anasema wala rushwa nitalala nao mbele kumbe fix tu.Waporaji wakiwa madarakani wanakuwa matajiri wa kutupwa , mchunguzeni Biswalo Mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kuna Mtu anasema wala rushwa nitalala nao mbele kumbe fix tu.Waporaji wakiwa madarakani wanakuwa matajiri wa kutupwa , mchunguzeni Biswalo Mganga
Alafu badae takukuru watakanusha ujinga uliiandikwa hapa na kuchangiwa hovyo hovyo bila kufikiri ,dunia ya sasa nani atakubali kukaa na kiasi hicho cha pesa kwenye account yake au nyumbani kwake wakati tamko la kumchunguza limetoka ?Ndio maana magazeti ya namna hii usingeyaona wakati wa mwendazake.Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi
Hana kitu pesa nyingi kaishia kununua magari n starehe,nyumba kapanga hana kwakeKazi ya kumn’goa Mbowe Hai iligharimu pesa nyingi sana.
Lkn mwendazake aliruhusu magazeti ya yule mpuuzi Msiba sio?Alafu badae takukuru watakanusha ujinga uliiandikwa hapa na kuchangiwa hovyo hovyo bila kufikiri ,dunia ya sasa nani atakubali kukaa na kiasi hicho cha pesa kwenye account yake au nyumbani kwake wakati tamko la kumchunguza limetoka ?Ndio maana magazeti ya namna hii usingeyaona wakati wa mwendazake .Ujinga kama huu ulisambazwa kuhusu kakonkoo kukutwa na kiasi kikubwa cha pesa ,kama kawaida wasiofikiria wakaanza kumshutumu na kutukana kwa jambo ambalo alijathibitishwa na mamlaka za kiuchunguzi ,tutulie tu ,tunywe mtori nyama ziko chini ,nchi yetu hii tutaambiwa mbivu na mbichi za LENGAI
Hahah tulieni mpewe dawa chungu.Magazeti ya msiba yanaendeleaje?Lengai ole Sabaya anapaswa kulishitaki gazeti hili la Rai kwa kuchapisha defarmatory report dhidi yake zisizokuwa na ukweli wo wote. Awadai wamiliki wa gazeti hilo kumlipa TSh billion tatu kama fidia ya kumchafua. Hii itakuwa fundisho kwao na magazeti mengine yanayofanya hivyo. Hakuna haja ya kuyafungia. Yakikosea maadili yashitakiwe na kulipa fedha hadi yafilisike. Mh. Sumaye alifanya hivyo na akalipwa mabilioni. Sabaya nawe fanya hivyo ulipwe mabilioni.
Yule wa Misungwi?sio yeye tu kuna mwingine mpaka anamiliki timu ya mpira wa miguu
Ya kweli au siyo ya kweli, mahakama ndiyo itakayoamua. Acha sheria ichukue mkondo wake. Nina uhakika watashindwa kuithibitishia mahakama hayo waliyoandika. Eti upekuzi nyumbani kwake ulikuta cash ya TShs 3 billion!Unadhani gazeti hilo lina waandishi wajinga na wapumbavu wa kiwango chako kiasi cha kutoelewa repercussions za kuçhapisha taarifa ya uongo bila kuwa na uhakika?..
Gazeti la rai lisubiri kufilisiwa na Lengai ole Sabaya, kijana machachari wa kimasai.Hahah tulieni mpewe dawa chungu.Magazeti ya msiba yanaendeleaje?
Hahah kijana wa kimasai alielia kwa jicho 1.Gazeti la rai lisubiri kufilisiwa na Lengai ole Sabaya, kijana machachari wa kimasai.
Cha msingi akifika jela lazima 'afunue kitabu'.Lengai Ole Sabaya atakuwa mmoja wa Wafungwa Matajiri hapo Segerea
Tena awekwe selo moja na wale mashehe wa Kizanzibari na hivi hawajaona wake zao miaka saba Ole Sabaya atakomaCha msingi akifika jela lazima 'afunue kitabu'.
Hahaha, anadumisha mila!Hahah kijana wa kimasai alielia kwa jicho 1.
Mbona Mbowe na Lema hawakukoma?Tena awekwe selo moja na wale mashehe wa Kizanzibari na hivi hawajaona wake zao miaka saba Ole Sabaya atakoma
"Namwachia Rais afanye kazi yake"Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Gazeti kongwe la RAIA MWEMA ni kwamba aliyekua mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Ole Sabaya anaogelea kwenye mabilioni ya shilingi...