Lengai Ole Sabaya kuwa huru?

Lengai Ole Sabaya kuwa huru?

kashinda Kesi zote kwa hiyo yupo wapi saa 9:00 Alasiri hii??muda huu inapigwa Filimbi ya kula pale Jela Karanga kwa ajili ya mlo,saa 10:00 kamili kila mmoja anatakiwa awe Selo kwake ndani hivyo kuona jua ni mpaka kesho,hakika Jenerali Sabaya cha moto anakipata,lile Gambe lote la Arusha mwaka sasa hajaliona daaah maisha haya!!!
jamani muacheni atumikie malipo ya matendo yake hapahapa duniani kwakweli... nawashanga wanaomuhurumia KIBAKA SAMBAYA
 
kama ulivyo wewe zombi wa lumumba unamichuki na cdm mpaka makalioni. ila MumeoSAMBAYA... SABAYA NI KIBAKA MZOEFU wacha anyye ndooo tu hakuna jinsi.
View attachment 2306738


Nisaidie, hii pua ni ya kimasai? Wamasai ni watu poa sana. Kama kuiba huiba ng'ombe tu. Hiyo ni jadi. Huamini kuwa ng'ombe wote duniani ni wao. Hapo hakuna mjadala. Pua ya Lengai inaleta mjadala!
 
Mama unapomfanyia mtu jambo fulani fanya kwa haki kwasababu haujui kesho ya mtu..kumbuka Sabaya ni kijana mdogo tena anayependwa na CCM
kwahiyo mtu kupendwa na ccm ni kibali cha kufanyia wengine mabaya?
wapo wapi watetezi wa wale waliokwenda JELA KWA KESI ZA KUSINGIZIWA BILA KUJALI NAFASI WALIZOKUWA NAZO KWENYE JAMII?
HATA BABU SEYA MLISEMA ALIONEWA NA KIKWETE MKASHANGILIA KUONA ANAACHILIWA KISIASA
 
Hitler alifanya mambo makubwa na mazuri kwa wajerumani, alitoa nchi kwenye mdololo wa uchumi na akaimbwa sana sana. Akaona atumie 'mazuri' yake kufanya mabaya na kujificha kwenye kichaka cha 'mazuri'.

Huwa ni utaratibu wa viongozi kutumia mazuri machache kujificha kufanya mabaya ya kuogopesha.

Mobotu alitumia mazuri machache ya kijijini kwao kujificha kufanya mabaya.

Makonda pia yeye hadi akaanza kulia lia mitandaoni humu akituma clips za kusaidia walemavu akipinga tuhuma za mabaya yake.

Hivyo ni hulka yao, hufanya mabaya na kutumia kujifichia kwenye mazuri machache.
Mfano magufuli alifanya mabaya na kumtanguliza mungu..... mungu ni mwema
 
Back
Top Bottom