waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalum.
Timu imeshafika robo fainali . Ukumbuke hatua ya makundi ilikuwa ngumu sana maana ilikuwa na vigogo wote unaowajua .mfano pale HAI kulikuwa na Team ya Daraja la juu kabisa na mchezaji alikuwa wa kiwango kikubwa cha Dunia (World top clas player ) lakini wewe ulishinda na hakuna shaka kocha wako anafahamu juhudi zako zilizosababisha Ushindi wa Team yake.
Makocha wengi huwa wanawapumzisha wachezaji wao Tegemezi kusubiri fainali baada ya kazi kubwa .
Sasa zipo mbinu za kupumzishwa. kocha anaweza kutangaza flani hatacheza kwa sababu ya majeraha ili kuwapoteza maadui kama mbinu ya medani.
Niliwahi kusema wachezaji kama Kigwangala ni mchezaji wa dakika 25 za mwisho Team ikiwa imeshinda , Kingwa ni mchezaji mwenye faida sana kama timu ikiwa imeshinda kuanzia bao 5 maana anauwezo wa kupoteza muda uwanjani faida yake inaonekana timu ikiwa imeshinda tu ili afanye ujinga ambao Team haitukuwa na faida sana wala hasara sana mfano kuchezea mpira au kupanda juu ya mpira,
Lakini Team ikiwa imeelemewa kisha sub ikiwa ni Khamis nadhani Uwezekano wa kadi nyekundu kwake ni mkubwa maana hawezi kukaba na anaweza kumkata mtu hata kwenye penati box anachotaka yeye ni shangwe la mashabiki (Faida Binafsi)
Katika Timu wapo wachezaji wa dakika 90 wanaweza kufanya maamuzi yenye faida kwa Timu wanaweza kuleta burudani uwanjani lakini wanaweza kubadili matokeo pale timu imelemewa na mara zote hawa wachezaji huwa hawaimbwi sana ila ndo wale wanaitwa mapafu ya mbwa kwamba anatema kulia anacheua kushoto ndo hawa wakina Lengai
Na mara zote hawa wachezaji huwa Makosa yakitokea wanaitwa na makocha na kufokewa, wanafokewa si kwa sababu wanamakosa wanakumbushwa kuwa wewe ni tegemeo langu acha mchezo na hata wakati mwingine huwa wanalipwa ujira kidogo lawama nyingi kutoka kwa mashabiki.
Mchezaji kama Makonda hata kocha aliepita alimuweka kando si kwa sababu ni mchezaji mbaya hapana alimuacha kwa sababu aligundua Mchezaji wake alikuwa hajui haswa anataka nini! Anataka kuchezea timu gani? Kocha hata alipoweka malengo bado Makonda alienda kufanya mazoezi na club zingine (Kigamboni Fc) kinyume na kanuni za endeshaji wa club yake na hivyo kikiuka makunaliano ya usajiri.
Kocha alijua hana uhakika sana wa kuwa nae kambini maana aligundua alitaka kucheza team nyingi bila kumaliza mkataba wake wa awali
Hakuna mashaka kuwa kiwango chako cha kucheza dakika 90 ni mkubwa. ila Kocha amekupumzisha kwa Malengo makubwa maana kwa sasa Club imeshafika Robo Fainali. unapumzishwa kwa mechi za Fainali tu ili hapa katikati usije ukapata majeraha na kocha akakosa kabisa kiungo wa kumtegemea nyakati timu ikiwa imeelemewa.
Najua sasa kuna kelele za mashabiki pande zote. Hawa wakisema ufurushwe haswa ambao wale hakuwakuamini matokeo ya mechi ile ya World top class Club kwenye Dimba la hai waamuzi wakiwa wananchi na wengine wanaopigania ubaki kikosi ni kwa sababu ulifanya kazi kubwa ya kuiondoa Team jabari na kuwapa kipigo mithiri ya Kaizer Chief kwa Mnyama kundi hili linaamini hata kama kulikuwa na faulo walichokitaka ni Ushindi na ushindi ulipatikana tena Gharama na kumsababishia kiungo huyu majeraha
Ushauri wangu kwako lengai usiache kufanya mazoezi Fainali inakuja
Usiache kabisa kuwa mwaminifu kwa Club yako (CCM) usiache kuwa mwaninifu kwa Kocha wako maana anajua analolifanya na kubwa kuliko yote usiache kuwa mwaminifu kwa MUNGU WAKO unamuheshimu sana.
Mtozi Alloyce Nyanda