Lengai Ole Sabaya, Makocha huwa wanabadilika

Hizo ndoto za mtu aliekunywa k vant usiku bila ya kula ndio anaota hizo ndoto kaka jiajiri utaacha kuwa mtumwa tafuta utajiri kupitia akili yako na nguvu zako bado ww kijana acha kutumika tafuta pesa ule mema ya nchi yako acha kujiingiza kwny vitu visivyokua na manufaaa na wewe kingine muache ushamba madogo nyie washamba sana washamba kupitiliza na huyo jamaa yako angekua raisi duh sijui ingekuaje
mimi nimejiajiri unagaka nikipe kazi au??
 
Mtozi Anamwandikia lengai Ole Sabaya

Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalumu

Timu imeshafika robo fainali . Ukumbuke hatua ya makundi ilikuwa ngumu sana maana ilikuwa na vigogo wote unaowajua .mfano pale HAI kulikuwa na Team ya Daraja la juu kabisa na mchezaji alikuwa wa kiwango kikubwa cha Dunia ( World top clas player ) lakini wewe ulishinda na hakuna shaka kocha wako anafahamu juhudi zako zilizosababisha Ushindi wa Team yake.

makocha wengi huwa wanawapumzisha wachezaji wao Tegemezi kusubiri fainali baada ya kazi kubwa .

Sasa zipo mbinu za kupumzishwa. kocha anaweza kutangaza flani hatacheza kwa sababu ya majeraha ili kuwapoteza maadui kama mbinu ya medani.

Niliwahi kusema wachezaji kama Kigwangala ni mchezaji wa dakika 25 za mwisho Team ikiwa imeshinda , Kingwa ni mchezaji mwenye faida sana kama timu ikiwa imeshinda kuanzia bao 5 maana anauwezo wa kupoteza muda uwanjani faida yake inaonekana timu ikiwa imeshinda tu ili afanye ujinga ambao Team haitukuwa na faida sana wala hasara sana mfano kuchezea mpira au kupanda juu ya mpira,

Lakini Team ikiwa imeelemewa kisha sub ikiwa ni Khamis nadhani Uwezekano wa kadi nyekundu kwake ni mkubwa maana hawezi kukaba na anaweza kumkata mtu hata kwenye penati box anachotaka yeye ni shangwe la mashabiki (Faida Binafsi)

Katika Timu wapo wachezaji wa dakika 90 wanaweza kufanya maamuzi yenye faida kwa Timu wanaweza kuleta burudani uwanjani lakini wanaweza kubadili matokeo pale timu imelemewa na mara zote hawa wachezaji huwa hawaimbwi sana ila ndo wale wanaitwa mapafu ya mbwa kwamba anatema kulia anacheua kushoto ndo hawa wakina Lengai

Na mara zote hawa wachezaji huwa Makosa yakitokea wanaitwa na makocha na kufokewa, wanafokewa si kwa sababu wanamakosa wanakumbushwa kuwa wewe ni tegemeo
Langu acha mchezo

na hata wakati mwingine huwa wanalipwa ujira kidogo lawama nyingi kutoka kwa mashabiki

Mchezaji kama Makonda hata kocha aliepita alimuweka kando si kwa sababu ni mchezaji mbaya hapana alimuacha kwa sababu aligundua Mchezaji wake alikuwa hajui haswa anataka nini! Anataka kuchezea timu gani? Kocha hata alipoweka malengo bado Makonda alienda kufanya mazoezi na club zingine (Kigamboni Fc) kinyume na kanuni za endeshaji wa club yake na hivyo kikiuka makunaliano ya usajiri.

Kocha alijua hana uhakika sana wa kuwa nae kambini maana aligundua alitaka kucheza team nyingi bila kumaliza mkataba wake wa awali

Hakuna mashaka kuwa kiwango chako cha kucheza dakika 90 ni mkubwa. ila Kocha amekupumzisha kwa Malengo makubwa maana kwa sasa Club imeshafika Robo Fainali. unapumzishwa kwa mechi za Fainali tu ili hapa katikati usije ukapata majeraha na kocha akakosa kabisa kiungo wa kumtegemea nyakati timu ikiwa imeelemewa.

Najua sasa kuna kelele za mashabiki pande zote. Hawa wakisema ufurushwe haswa ambao wale hakuwakuamini matokeo ya mechi ile ya World top class Club kwenye Dimba la hai waamuzi wakiwa wananchi na wengine wanaopigania ubaki kikosi ni kwa sababu ulifanya kazi kubwa ya kuiondoa Team jabari na kuwapa kipigo mithiri ya Kaizer Chief kwa Mnyama kundi hili linaamini hata kama kulikuwa na faulo walichokitaka ni Ushindi na ushindi ulipatikana tena Gharama na kumsababishia kiungo huyu majeraha

Ushauri wangu kwako lengai usiache kufanya mazoezi Fainali inakuja

Usiache kabisa kuwa mwaminifu kwa Club yako (CCM) usiache kuwa mwaninifu kwa Kocha wako maana anajua analolifanya na kubwa kuliko yote usiache kuwa mwaminifu kwa MUNGU WAKO unamuheshimu sana.

Mtozi Alloyce Nyanda
Team Sabaya cleansing at work.
Shame upon you.
 
Huyu naye anaweweseka, mara atoe ufafanuzi wa DC aliyemwambia raia aweke t@ko chini eti watu walimwelewa vibaya.

Halafu mtu kama Ole unamwita mapafu ya mbwa, mchezaji tegemeo! Na akina Mtaka utawaita vipi?
 
Michadema itatukana mleta uzi maana hajaandika kile kinachofurahisha
 
Mnahamgaika sana,
Mlishiriki uhalamia aliotuhumiwa nao?
 
Wewe nae siku hizi ni mganga njaa tu!
Sabaya hasafishiki. Mrudishie hela zake.
 
Nyanda unapunguza hats hadhi ya The big agenda kupitia pumba zako zakumsafisha sabaya na kalisha MAWOWOWO wa kwa Mkwawa,nenda hai kafanye uandishi wako kuhusu sabaya ili upokolewe vizuri na mabaunsa wake wakupeleke kwa wananchi.
 
Huyu naye sijui alikosa cha kuandika?
 
Huu ni mlinganisho wa kipumbavu kabisa,hai ccm haikushinda kwa ajili ya sambaya,huo ushindi ni wizi wa kura kwa amri ya magu
 
Kesho kabla ya kipindi uombe radhi kwa wananchi.
@Aloyce Nyanda
Screenshot_20210516-145748.jpg
 
Sina hakika lakini nahisi ole sabaya atakuwa mkuu wa wilaya wa kwanza jambazi
 
Kama kweli ni Aloyce Nyanda ndio ameandika haya basi natangaza rasmi kuwa kuanzia Leo nimemdhalau.
Hata vipindi anavyoendeshaga huyu Aloyce Nyanda huwa havielewekagi hata hoja anzotia zinakuwaga mfu kabisa.

He seems to be smart and knows much wakati sio kweli. Hiyo article yake wala haieleweki kabisa. Anajaribu kuwatia moyo watu ambao walikuwa rejected na jamii.

Please watch out Mr. Nyanda!!

Asante!!
 
Huu ni mlinganisho wa kipumbavu kabisa,hai ccm haikushinda kwa ajili ya sambaya,huo ushindi ni wizi wa kura kwa amri ya magu
Eti anajiita mwandishi gwiji na hilo halitambui? Kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kujitangaza kushinda kwa ccm kunatokana na nini kama sio uporaji wa kura mchana kweupe bila woga?
 
Back
Top Bottom