Lengai Ole Sabaya, Makocha huwa wanabadilika

mimi nimejiajiri unagaka nikipe kazi au??
 
Team Sabaya cleansing at work.
Shame upon you.
 
Huyu naye anaweweseka, mara atoe ufafanuzi wa DC aliyemwambia raia aweke t@ko chini eti watu walimwelewa vibaya.

Halafu mtu kama Ole unamwita mapafu ya mbwa, mchezaji tegemeo! Na akina Mtaka utawaita vipi?
 
Michadema itatukana mleta uzi maana hajaandika kile kinachofurahisha
 
Mnahamgaika sana,
Mlishiriki uhalamia aliotuhumiwa nao?
 
Wewe nae siku hizi ni mganga njaa tu!
Sabaya hasafishiki. Mrudishie hela zake.
 
Nyanda unapunguza hats hadhi ya The big agenda kupitia pumba zako zakumsafisha sabaya na kalisha MAWOWOWO wa kwa Mkwawa,nenda hai kafanye uandishi wako kuhusu sabaya ili upokolewe vizuri na mabaunsa wake wakupeleke kwa wananchi.
 
Huyu naye sijui alikosa cha kuandika?
 
Huu ni mlinganisho wa kipumbavu kabisa,hai ccm haikushinda kwa ajili ya sambaya,huo ushindi ni wizi wa kura kwa amri ya magu
 
Sina hakika lakini nahisi ole sabaya atakuwa mkuu wa wilaya wa kwanza jambazi
 
Ndo maana wasukuma tunadharaulika kwasababu za waandishi kama hawa....
 
Kama kweli ni Aloyce Nyanda ndio ameandika haya basi natangaza rasmi kuwa kuanzia Leo nimemdhalau.
Hata vipindi anavyoendeshaga huyu Aloyce Nyanda huwa havielewekagi hata hoja anzotia zinakuwaga mfu kabisa.

He seems to be smart and knows much wakati sio kweli. Hiyo article yake wala haieleweki kabisa. Anajaribu kuwatia moyo watu ambao walikuwa rejected na jamii.

Please watch out Mr. Nyanda!!

Asante!!
 
Huu ni mlinganisho wa kipumbavu kabisa,hai ccm haikushinda kwa ajili ya sambaya,huo ushindi ni wizi wa kura kwa amri ya magu
Eti anajiita mwandishi gwiji na hilo halitambui? Kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kujitangaza kushinda kwa ccm kunatokana na nini kama sio uporaji wa kura mchana kweupe bila woga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…