Sio kweli hawezi kwenda kule wanamtamani mbaya wale aliowapokonya magari na kuwapa kesi ya sembe...Baba kegan yupo south?!
Ndoto hiyo!Upadte.
Sabaya kapigwa Mvua 30 Jela na Bakora 24,
Hivi ningekuwa ndo mimi mlala hoi sina hata mbuni mfukoni hii kesi ninge waweka ma hakimu mpaka Jion hii...???
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hivi ni ukumu au hukumu mkuu?Mpaka muda huu ukumu bado?
Huyo ng'ombe kaanzisha halafu kautelekeza sijui kashikiliwa na mshangazi wapi hukoHakuna updates?
Marehemu hayupo kumnusuruNdoto hiyo
Mmeanza kuhamisha magoli ?Hii ngoma atahukumiwa tofauti makusudi ili akate rufaa alafu ionekane alionewa hapo ataachiwa!!
kinachomliza ni nini hasaDaah!! Sabaya anaangua kilio😭
Akipewa hukumu kesi zake nyingine vipi??..au watajumlisha hukumu zote baada ya kesi zote kuisha??
Wakuu embu mnibrief kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app