Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Malipo ni hapa hapa duniani hii nii funzo kubwa mno kwa wale wote wanaopewa vyeo na kutumia madaraka yao vibaya kutesa raia.
 
Daaaah mkeka umechanika
 
Usiku wa leo utakua mrefu sana na mzito kwa ole sabaya katika maisha yake
 
Nasikia alizimia akapepewa ninkweli? Sabaya Mungu wake akizikwa March 2021. Leo Rais wa nchi Yuko Kaskazini na mambo ni Safi huko
 
Hii kauli umeisikia wewe peke yako walah....

[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hii iwe fundisho hata kwa viongozi wengine waliopo madarakani hivi sasa wasitumie vyeo vyao kunyanyasa na kuumiza wengine kwa kumtegemea yule aliyekuteua kuwa atakulinda yeye sio Mungu ipo siku ataondoka duniani utabaki huna mtetezi.
 
Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
kwani Mbowe yuko juu ya sheria za nchi?
Kama Sabaya kafungwa kutokana na ushahidi hata Mbowe anaweza kufungwa vilevile kama kutakuwa na ushahidi wa kumfunga.
Hakuna aliye juu ya sheria.
Sheria ni Msumeno.
Sabaya kapata Haki yake.
na Mbowe ikifika wakati wake atapata Haki yake.
 
Msomi gani wa St. Johns?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We jamaa una mitusi sana[emoji119][emoji119]
 
Dah! Siku moja tu inaweza kubadili mfumo mzima wa maisha yako..nahis anajuta sana kuwa mkuu wa wilaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…