Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Sio rahisi ngamia kupita kwenye tundu la sindano Mbowe hana hatia
 
Usiwe kama mjinga. Kinachothibitisha mahakama kutoa hukumu ni ushahidi uliojitosheleza siasa siasa za kijinga za CCM
Mahakama ikitenda haki kwa gaidi usilie kama toto jinga
 
Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
Bado zamu yako kama ulihisika na uporaji jipange kwa utetezi ,we jisemeshe tuu.
 
Ila sheria kwa kosa Kama la sabaya imeweka adhabu Kali Sana. Màana yangu ni kwamba Hakim kadhibisha Sabaya alikuwa na bunduki, sambamba na wenzie, lakin hapo Hapa Hakim kasema hzo bunduki hazikutumika, Hapa naona bas adhabu ingekupunguzwa kwanye miaka 30 angalau ata 15.

Na hiki kipengele cha mtu kujitetea naona Kama huwa ni cha kinafiki tu, mala chache Sana mahakama kukisikiliza.
 
Mahakama siyo vikao vya CCM wewe fala kama **** ushahidi usio na mashaka kwa mbowe basi mfungeni lakini siyo huo uzushi wenu na propaganda za kisiasa.
Unapanic nini sasa we zwazwa?

Subiri mahakama itende haki kwa gaidi
 
Hukumu hii inatoa taswira tulikuwa na Rais wa namna gani!
 
Take a note from this post/thread, hukumu hii kuna kitu inataka kuhalalisha. Watamfunga Mbowe!
Then baadaye Sabaya will be pardoned!
inaweza ikawa kwa upande wake maana watu wanacheza the long GAME
 
Kina Ally Hapi sasa hivi wamekuwa watulivu mno,wamebaki kuhamasisha timu za mpira zinazotoka maeneo wanayoongoza!
Hii hukumu itakuwa funzo kubwa sana!
 
umri huo hakuoa?, ila vijana wanatutia aibu kwakweli..wanaishi kwa uzinzi mda wote. Vijana waliooa wengi wana hekima na busara...hawa ambao bado hawajaoa ndio wanatuharibia serikali hawa. Na hiyo mamlaka ya uteuzi ina shida sana..kwanini inateua vijana ambao hawajaoa?..wanapeleka uzinzi ofisini, fujo ofisini...wanachochea mambo maovu kuingia katika serikali
 
Mshamba tu jamaa,, alikuwa anajiona mungu mtu,, kuna clip moja niliiona kawakamata wanna wauza pombe za kienyeji anavyowadhalilisha dah iliniuma kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…