Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Ngoja nikae kimya kwa dk 3 niitafakari Tanzania yangu[emoji24][emoji24]
 
"Sabaya bado hajapokea barua ya kuachishwa kazi ya mkuu ya wilaya ya hai Bali aliondolewa kupisha uchunguzi"
 
kwani mbowe ni nani mbele ya sheria za nchi hii?!
kama Haki imetendeka kwa Sabaya bilashaka itatendeka pia kwa Mbowe.
yaani wafuasi wa mtuhumiwa wa Ugaidi wanataka kutuaminisha kuwa Haki kwa mbowe ni kuachiwa tu sio kufungwa jela!!!
Haki ni Haki tu.
 
Wajuzi si mtu akihukumiwa arusha anaweza kwenda kutumikia kifungo chake mbeya?
 
Si kuachiwa ila hii kesi kwa jicho la tatu Ina siasa ndani yake ili wakija kumfunga Mbowe waseme mbona sabaya alifungwa?

Tuombe tu kesi ya Mbowe mawakili na majaji watende haki!!
Ndio maana nakwambia na kukuuliza ili mbowe aachiwe ilipaswa Sabaya achiliwe ?
 
Mama ameapa kusimamia haki.

Mama anataka kuona utawala wa sheria, mahakama zitakuwa huru bila mashinikizo kutoka mihimili mengine.

Mungu ambariki Mheshimiwa rais mama Samia Suluhu Hassan.
Haya ni maandalizi ya mvua kwa mwamba,kama haitakuwa 30 na yeye. Tutaona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…