Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Vipi mkuu, unasemaje kuhusu hukumu ya mahakama ya miaka 30 dhidi ya kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha iliyomuangukia Sabaya!!?? Bado wameamua kumhifadhi kwa miaka 30 dhidi ya gaidi!?? Viboko wakili amemuombea viondolewe, na ombi limekubalika.
Bado kesi mbichi kabisa hii, hujui kuna kukata rufaa?
 
Mbowe yeye anatuhumiwa kupanga mipango miovu ya kuvuruga AMANI YA nchi.
sasa wewe jiulize mtu anaye taka kuvuruga amani ya nchi unajua madhara yake ni makubwa kiasi gani?! ni hatari kubwa sana na kama akikutwa na hatia anastahili adhabu kali zaidi ili iwe fundisho kwa wanasiasa wengine wanao jaribu kuchezea amani ya nchi
yaani huwezi kulinganisha makosa ya unyanganyi, n.kna makosa ya mbowe ya kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi, Amani ya nchi ndio inayo tufanya leo tunafurahia haki kutendeka, amani ya nchi ndio mpango mzima, leo hii Mbowe na Genge lake la kihalifu wanadaiwa kupanga njama za kuvuruga amani ya nchi iliyo tengenezwa na kulindwa kwa zaidi ya miaka 60!!
Amani ya nchi yetu ni ya thamani kubwa sana kuliko mbowe au mtu yeyote yule, atakaye bainika kuchezea amani yetu atashughulikiwa bila huruma.
 
Nini chakushangaza hapo!!! Sheria inataratibu nyingine za kufuata, mlango wa rufaa hauujui nn…
Rufaa unajua inavyofanya kazi? Huyu mwamba amekiri kwa mdomo wake rufaa ya kazi gani? Kitendo cha kusema alitumwa na mamlaka ya uteuz hapo ame confess kwamba alifanya , akishindwa kwenye rufaa wajua adhabu inaongezeka?

Na mamlaka ilisha mkataa, alafu hiyo n case moja bado nyingine nyingi, kifungo cha maisha kinamhusu huyu
 
wanasheria tunaomba ufafanuzi hapa kuna wengine wanasema hukumu ni jumla ya miaka 30 hivyo inagawanywa kwa watu 4 kila mmoja mika 7, wengne wanasema kila mmoja miaka 30 kwasababu miaka haigawanyiki

hivyo ukweli ni upi
Umeshindwa kuelewa kitu gani hapo wewe poyoyo? Yaani umeshindwa hata kufanya rejea tu za hukumu kwa makosa ya kutumia silaha? Ukikutwa na kosa la matumizi ya silaha, hukumu yake ni miaka 30. Kama mko 100 basi kila mtu ana miaka yake 30. Shule ulienda kusomea nini?
 
Sasa yule mke wa mwenye duka lililovamiwa ambaye utetezi wake ulipingana na mumeo kwamba sabaya hakufika dukani hapo,ndio miongoni mwa utetezi uliokataliwa.sijui kama ndoa yake ina hali gani
Yule mama alitishwa, maelezo yake anapingana na CCTV footage zilizorekodiwa dukani
 
Truth teller vipi apo unaendeleaje na hali
 
Mashitaka dhidi ya Mbowe Ni ya kubumba,!
 
Chadema bhana [emoji16][emoji16] mkishikwa mnaonewa ila wengine wakishikwa ni haki zao
Sasa na nani ndani ya CHADEMA au vyama vya upinzani, matendo yake, kwa uwazi kabisa,unaweza kulinganisha na na matendo ya jambazi Sabaya?

Wapinzani wanabambikiwa kesi. Lakini ukiona mwanaCCM anashtakiwa ujue ametenda uovu wa kupindukia.
 
Sabaya ana mipesa akitoka anaoa kitu kipya
Hana pesa kwa sasa. Pesa wanajilia mawakili na wasiojulikana wanaomdanganya kuwa watamtoa. Akitoka ataishi kwenye maisha yake halisi siyo ya kutegemea hela za uporaji. Atakapotoka Dunia itakuwa imebadilika, akija na aliyoyazoea, atakaa mtaani wiki moja, atarudi tena jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…