Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

Hivi general Sabaya na yeye alivyoingia jela alivua nguo akabaki uchi akakaguliwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani nimwone kwenye zile kaunda suti za orange[emoji23]
Dah!...madam please...usiwaze hayo
 
Hii hukumu ya sabaya ni namna tunaandaliwa kisaikolojia kupokea hukumu ya mbowe.amka kijana,mbowe kaisha...
Mbowe afungwe sawaa, tunajua kaonewa, hakuna mtu yeyote anaeweza kusimama akasema Mbowe alifanya hivi , n uonevu

Vipi kuhusu Sabaya? Mamia ya watu wanalia kwa matendo maovu aliyowafanyia, na leo ukisema watoke mbele waseme watatoka wengi mno

Huo ndio utofaut bro, kufungwa kwa halali vs kufungwa kwa uonevu .. havikai mizani moja
 
Silajha yenyewe haikutumika yaani hata huyo hakimu mihemko ndo imemwendesha!
Huyo hakimu atakuwa na tatizo nadhani sio bure kabisaaa...sasa wakina mbowe si ndio watafungwa kifungo cha maisha au??
 
kaa kwa kutulia
Waliokuwa wanavuliwa nguo na kuambia wakae na kusimama kwenye misumari ..

Kwa mbowe kesi la kubumba lile hata
mashahidi halina..
kaa kwa kutulia tutajua mashahidi wapo au hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…