Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

Lengai Ole Sabaya ni nani hasa?

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,425
Reaction score
4,768
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.

Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU MCHAGA WA NAMNA GANI?
 
ole wake, yaani ole 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kesi ilikua inaendelea mahakamani then jiwe akamteua u-DC,mpk hapo nadhani unaelewa ni ujumbe gani jiwe alikua anatuma kwa mahakama.

Jamaa akashinda kesi kilaini tu.
 
Nilidhani bonge la wasifu wake kumbe ikaisha Kama hadithi ya kenge
 
Lengai = Wa Mungu

  • *Hili jina mara nyingi hupewa watu waliokuja duniani/kuzaliwa kwa kudra za mwenyezi Mungu tu (kwamba wameponea chupu chupu hadi kuwepo duniani) yaani hawakutegemewa kuja duniani au kuwa hai.

Ole = Mwana wa, Mtoto wa, Kijana wa....

Lengai Ole Sabaya = Lengai Mwana wa Sabaya
 
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.
Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU MCHAGA WA NAMNA GANI?
Ni Mtu aliyekuwa recruited wrongly Idarani ( TISS ) kutokana na Kubebwa Kwake na Wakubwa akitokea Chamani CCM kisha akaja Kutumika Kikatili kwa Wananchi kwa Maagizo ya Katili Mkuu aliyetangulizwa kilazima Udongoni Kanda ya Ziwa na Israeli.
 
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.
Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU MCHAGA WA NAMNA GANI?
Subiri uambiwe jibu la "kwani ye anasemaje".
 
Back
Top Bottom