LGE2024 Lengo hasa la Mchengerwa kupanga mapingamizi yapelekwe siku za weekend ni nini?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.

Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?

Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.

Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
 
Chadema haikujipanga kwa uchaguzi ilikuwa inasubiri walioenguliwa CCM ndio iwafanye wagombea. CCM ikawashtukia na ikafanya timing!
 
Haiwezekani kabisa uchaguzi wa serikali za mitaa ukawa fair jambo linalofanywa ni kuonesha kuwa utaratibu ulifuatwa tu.
 
Chadema haikujipanga kwa uchaguzi ilikuwa inasubiri walioenguliwa CCM ndio iwafanye wagombea ...CCM ikawashtukia na ikafanya timing !!
Pamoja na hayo at least kiongozi aoneshe basi anafuata sheria hata wakishinda kusiwe na kigugumizi.
 
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.

Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?

Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.

Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Mkwe wa Rais katika ubora wake. Anamsafishia ñjia Mama Mkwe. Hii ndio Tanzania chini ya Uongozi wa familia, Jamaa na marafiki. Juhudi inatakiwa kuinasua Nchi katika janga hili kabla haijatumbukia na kuzama kabisa kuwa Nchi ya Kifalme au Malkia.
 
Kama tarehe ni hizo 8 na 9 November basi ni Ijumaa na Jumamosi, maana yake siku moja sio ya weekend. Lakini pia huenda ametoa maelekezo kwa watendaji kuwepo ofisini siku ya jumamosi pia.

Turudi kwenye mchakato huu sasa, naona hiki chama cha Mapinduzi kimeishiwa kabisa mikakati na kujikuta kinalazimisha kunakili mikakati iliyotumika katika awamu iliyopita hata pasipokua na ulazima.

Nadhani kuna namna waliokua wanafanya mipango ya ushindi hapo miaka ya nyuma wamejiweka pembeni ama wameshafariki, maana ni aibu kuona chama kinatumia njia za kitoto kama hizi kutaka waonekane wanakubalika.
 
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.

Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?

Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.

Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Katumwa na mama mkwe
 
Mkuu hujasikia watendaji kufunga ofisi au kutoonekana kabisa.
 
"Umekosea kujaza from bwana mkubwa rekebisha hapa na hapa halafu uilete....."
Kulikuwa na shida gani ingekuwa hivi? 😀
Anyway washapita bila kupingwa wale waliobaki
 
Mkuu hujasikia watendaji kufunga ofisi au kutoonekana kabisa.
Ndio huo ujinga wa hiki chama ninaousema sasa, wanafanya mambo ambayo hata wao wenyewe wakikaa pembeni ninaamini wanajicheka.

Kwa hali ya siasa ilivyo nchini kwasasa, hakuna mgombea yeyote wa upinzani kwenye maeneo ya kawaida (ukiacha wilaya ambazo ni ngome za upinzani ama zina mlengo wa upinzani siku zote) ambae atashinda kwa nguvu ya chama chake, labda kama ana ushawishi binafsi kwa wapigakura wake.
 
Kutafika muda hizi mbinu chafu zitashindwa.
 
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.

Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?

Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.

Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Shehe,hawa watu hujawazoea tuu mpk sasa?
 
Ccm akili zao, ni kama vibaka wa kawe tu, kila kitu, wameishapanga, kata majina,walete pingsmizi, wakute ofc zimefungwa! Motha fuckers kabisa
 
Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.

Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?

Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.

Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Lengo la Mchengrewa ni kuvuruga uchaguzi.
Hataki wana nchi wapate fursa ya kuchagua viongozi wanaohitaji.
 
Back
Top Bottom