Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Nyie mnaoshabikia ushenzi ipo sikumtarudi hapa na majuto kwanini hamkuuchukia ushenzi huu.Chadema haikujipanga kwa uchaguzi ilikuwa inasubiri walioenguliwa CCM ndio iwafanye wagombea. CCM ikawashtukia na ikafanya timing!