Pamoja na hayo at least kiongozi aoneshe basi anafuata sheria hata wakishinda kusiwe na kigugumizi.Chadema haikujipanga kwa uchaguzi ilikuwa inasubiri walioenguliwa CCM ndio iwafanye wagombea ...CCM ikawashtukia na ikafanya timing !!
Sheria ipi imevunjwa?Pamoja na hayo at least kiongozi aoneshe basi anafuata sheria hata wakishinda kusiwe na kigugumizi.
Mkwe wa Rais katika ubora wake. Anamsafishia ñjia Mama Mkwe. Hii ndio Tanzania chini ya Uongozi wa familia, Jamaa na marafiki. Juhudi inatakiwa kuinasua Nchi katika janga hili kabla haijatumbukia na kuzama kabisa kuwa Nchi ya Kifalme au Malkia.Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?
Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.
Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Kama unaangalia kwa jicho la kisiasa huwezi kuona tatizo.Sheria ipi imevunjwa?
Katumwa na mama mkweKuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?
Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.
Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Mkuu hujasikia watendaji kufunga ofisi au kutoonekana kabisa.Kama tarehe ni hizo 8 na 9 November basi ni Ijumaa na Jumamosi, maana yake siku moja sio ya weekend. Lakini pia huenda ametoa maelekezo kwa watendaji kuwepo ofisini siku ya jumamosi pia.
Turudi kwenye mchakato huu sasa, naona hiki chama cha Mapinduzi kimeishiwa kabisa mikakati na kujikuta kinalazimisha kunakili mikakati iliyotumika katika awamu iliyopita hata pasipokua na ulazima.
Nadhani kuna namna waliokua wanafanya mipango ya ushindi hapo miaka ya nyuma wamejiweka pembeni ama wameshafariki, maana ni aibu kuona chama kinatumia njia za kitoto kama hizi kutaka waonekane wanakubalika.
Ndio huo ujinga wa hiki chama ninaousema sasa, wanafanya mambo ambayo hata wao wenyewe wakikaa pembeni ninaamini wanajicheka.Mkuu hujasikia watendaji kufunga ofisi au kutoonekana kabisa.
Kutafika muda hizi mbinu chafu zitashindwa.Ndio huo ujinga wa hiki chama ninaousema sasa, wanafanya mambo ambayo hata wao wenyewe wakikaa pembeni ninaamini wanajicheka.
Kwa hali ya siasa ilivyo nchini kwasasa, hakuna mgombea yeyote wa upinzani kwenye maeneo ya kawaida (ukiacha wilaya ambazo ni ngome za upinzani ama zina mlengo wa upinzani siku zote) ambae atashinda kwa nguvu ya chama chake, labda kama ana ushawishi binafsi kwa wapigakura wake.
Tanga nzima hakuna wagombea walotoka CCMChadema haikujipanga kwa uchaguzi ilikuwa inasubiri walioenguliwa CCM ndio iwafanye wagombea. CCM ikawashtukia na ikafanya timing!
Shehe,hawa watu hujawazoea tuu mpk sasa?Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?
Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.
Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Ccm akili zao, ni kama vibaka wa kawe tu, kila kitu, wameishapanga, kata majina,walete pingsmizi, wakute ofc zimefungwa! Motha fuckers kabisaKuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.
Lengo lake lilikuwa ni nini, kutaka wananchi wajichukulie sheria mikononi au?
Tusiangalie uchaguzi huu tu think about 20 years to come taifa litakuwa na viongozi wangapi wa aina hii.
Trump yupo sahihi sana kutuita shit hole countries, yaani viongozi hawana future na nchi zao wanaangalia matumbo yao tu.
Tuendelee na maombi Mungu atajibu soon.Shehe,hawa watu hujawazoea tuu mpk sasa?
Lengo la Mchengrewa ni kuvuruga uchaguzi.Kuwapa wagombea walioenguliwa siku 2, 08 - 09/11/2024 kuwasilisha mapingamizi yao wakati akijua siku hizo ni weekend na sehemu nyingi ofisi za umma huwa zimefungwa.