Laiti ukijua ya kwamba shetani alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu! Buddha ni nani hasa! Na ana miaka mingapi hapa duniani?Bwana deni embu soma Wikipedia ya Buddha then utajua dini ni man made,Buddha wrote all rules and laws of life which are almostly resemble to those of islams and christians,he just sit and meditate then comes out with a lot of rules and laws to govern life
Huniambii kitu kwa habari ya meditation maana nilikuwa huko. Kinachowapoteza wengi kuona kuwa Buddhism ni sahihi ni roho moja tu ya upotevu. Nayo ni "Yin-Yang" (good-bad, male-female, hot-cold, black-white) na si hivyo tu. Husema hivi "as above, so bellow".
Mnapotea. Biblia inasema:
Yohana 4:24
24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Pia twasoma:
1 Wakorintho 2:13-15
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.
15 Lakini mtu wa rohoni huyatambua yote, wala yeye hatambuliwi na mtu.
Ku ufupi ntakwambia kuwa brother, nilikuwepo huko kwenye hicho unachoamini na usishangae nikisema kuwa huenda najua mengi juu ya hiyo imani yako kuliko wewe unavyoizungumzia.
Jehanamu ya moto ipo kweli na Mbingu zipo kweli. Siku ukihamua kuamini na kumgeukia Mungu na ukiamini kuwa Mungu aliupenda ulimwengu na kumtoa mwanaye Yesu Kristo. Ndiyo siku utakiri kwa kinywa kuwa Mungu yupo.
Hamjui ya kuwa Kristo ndiye atakayehukumu siku ile! Nasisitiza tena Mungu yupo, Yesu yupo, Roho wake yupo. Mbingu zipo, Jehanamu ya moto ipo, shetani na mapepo yake yupo.