bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.
Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa Tanzania alikiri lengo lake la kwanza ni kuhakikisha T/stars inafuzu World Cup sasa sijui na World Cup ipi au ni ile imepita mimi na wewe hatujui.
Kuna haja ya kumkumbusha Kibu D ili atwambie ni World Cup ipi na kama bado ana hizo ndoto au ndio imeisha hiyo.
Penye nia pana njia ninaimani ipo siku moja ndoto za Kibu D zitatimia kulisaidia Taifa kufuzu World Cup mimi na wewe hatujui ila ninaimani hiyo siku yaja.