Lengo la Kibu D ilikuwa ni kuhakikisha Tanzania inafuzu World Cup

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.

Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa Tanzania alikiri lengo lake la kwanza ni kuhakikisha T/stars inafuzu World Cup sasa sijui na World Cup ipi au ni ile imepita mimi na wewe hatujui.

Kuna haja ya kumkumbusha Kibu D ili atwambie ni World Cup ipi na kama bado ana hizo ndoto au ndio imeisha hiyo.

Penye nia pana njia ninaimani ipo siku moja ndoto za Kibu D zitatimia kulisaidia Taifa kufuzu World Cup mimi na wewe hatujui ila ninaimani hiyo siku yaja.
 
Acha majungu wapi alisema hayo maneno
 
Ulikuwa wapi kuyasema haya mpaka siku zote hizi kupita ndo unarefusha kamdomo? Vepe ama ni chuki dhidi yake kwa kile alimfanya jiara april 16?
 
Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.

Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa Tanzania alikiri lengo lake la kwanza ni kuhakikisha T/stars inafuzu World Cup sasa sijui na World Cup ipi au ni ile imepita mimi na wewe hatujui.

Kuna haja ya kumkumbusha Kibu D ili atwambie ni World Cup ipi na kama bado ana hizo ndoto au ndio imeisha hiyo.

Penye nia pana njia ninaimani ipo siku moja ndoto za Kibu D zitatimia kulisaidia Taifa kufuzu World Cup mimi na wewe hatujui ila ninaimani hiyo siku yaja.
Anacheza peke yake.
 
Wewe ndiye ulipandisha uzi hapa kuwa Simba wanajadili sana mambo ya Yanga kuliko ya club yao,lakini mbona wewe na wenzako.Laban og na Nalia Ngwena ndiyo mnajaza server kujadili mambo ya Simba tena kwa mada za kipuuzi kama hii. Mkiambiwa nyie ni nyani,mbwa na uneducated mnasema mnatukanwa.
 
Hahahaa mwamba umetoa povu chagua moja sasa an educated, umbwa wa kisasa au Nyani
Ref kauli ya Rage mpaka mkamwombe Rage Msamaha hakika.
 
Back
Top Bottom