Kila Mtu anapoanza kazi anajiwekea malengo. Kufaulu au kushindwa na mipango ya Mungu.Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa Jibu baki nalo.
Anacheza peke yake.Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.
Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa Tanzania alikiri lengo lake la kwanza ni kuhakikisha T/stars inafuzu World Cup sasa sijui na World Cup ipi au ni ile imepita mimi na wewe hatujui.
Kuna haja ya kumkumbusha Kibu D ili atwambie ni World Cup ipi na kama bado ana hizo ndoto au ndio imeisha hiyo.
Penye nia pana njia ninaimani ipo siku moja ndoto za Kibu D zitatimia kulisaidia Taifa kufuzu World Cup mimi na wewe hatujui ila ninaimani hiyo siku yaja.
Wewe ndiye ulipandisha uzi hapa kuwa Simba wanajadili sana mambo ya Yanga kuliko ya club yao,lakini mbona wewe na wenzako.Laban og na Nalia Ngwena ndiyo mnajaza server kujadili mambo ya Simba tena kwa mada za kipuuzi kama hii. Mkiambiwa nyie ni nyani,mbwa na uneducated mnasema mnatukanwa.Yes ni mchezaji wa Simba wanayemfananisha na Mayele sijui nyie wenzangu mnaonaje kama huu ufanano unafaa jibu baki nalo.
Kibu D au Drogba kama wanavyomwita wana Simba baada tu ya kupewa Uraia wa Tanzania alikiri lengo lake la kwanza ni kuhakikisha T/stars inafuzu World Cup sasa sijui na World Cup ipi au ni ile imepita mimi na wewe hatujui.
Kuna haja ya kumkumbusha Kibu D ili atwambie ni World Cup ipi na kama bado ana hizo ndoto au ndio imeisha hiyo.
Penye nia pana njia ninaimani ipo siku moja ndoto za Kibu D zitatimia kulisaidia Taifa kufuzu World Cup mimi na wewe hatujui ila ninaimani hiyo siku yaja.
Wewe ndiye ulipandisha uzi hapa kuwa Simba wanajadili sana mambo ya Yanga kuliko ya club yao,lakini mbona wewe na wenzako.Laban og na Nalia Ngwena ndiyo mnajaza server kujadili mambo ya Simba tena kwa mada za kipuuzi kama hii. Mkiambiwa nyie ni nyani,mbwa na uneducated mnasema mnatukanwa.
Yule anayeidai utopolo m324 ndiye aliwapa hizo titles au ulikuwa bado hujaanza kuishabikia utopolo.Hahahaa mwamba umetoa povu chagua moja sasa an educated, umbwa wa kisasa au Nyani
Ref kauli ya Rage mpaka mkamwombe Rage Msamaha hakika.