Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanzilishi alokują na nia nzuri, lakini Takukuru imekuwa yenyewe ni corrupt, inawatunza na kushirikiana na mafisadi. Inashirikiana na viongozi wasio na uadilifu yaani kuwalinda viongozi kwenye wizi na ubadhirifu.1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Ni kama walilenga kuongeza genge la wala rushwa kama ilivyo kwa polisi1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Swali fikirishi hivi kipimia upepo,, (barometer), kikiharibika unafanyaje,, yaani kushindwa kupima atmospheric pressure , msukumo na muelekeo wa upepo, angalizo muundaji wa kipimia upepo ni wewe mwenyewe,, na lengo la kupima msukumo na muelekeo wa upepo unalijua mwenyewe1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Serikali ili ipendwe na wananchi lazima ianzishe ajira nyingi kiasi iwezekanavyo, kwshiyo lengo lilikuwa ni kuongeza wigo wa ajira, mengine ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Kupambana na rushwa1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Good thinkingSerikali ili ipendwe na wananchi lazima ianzishe ajira nyingi kiasi iwezekanavyo, kwshiyo lengo lilikuwa ni kuongeza wigo wa ajira, mengine ni majaliwa ya mwenyezi Mungu.
TAKUKURU ipo kwa lengo la kuimarisha rushwa na siyo kuzuia rushwa1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?TAKUKURU ipo kwa ajili ya kuimarisha rushwa na siyo kuzuia rushwa
Ilianzishwa kuongezea urefu wa kamba za walaji/mbuzi wa ccm.1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
TAKUKURU ni moja ya Taasisi za hovyo Tanzania. Haina tija yeyote. ni hasara kwa Taifa, kwa walipa kodi. Haya mataasisi ya hivi hupatikana tu kwenye shithole countries1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?
Ikifanyika audit ya ukweli.. hakuna wala rushwa wakubwa kama hao.Mwanzilishi alokują na nia nzuri, lakini Takukuru imekuwa yenyewe ni corrupt, inawatunza na kushirikiana na mafisadi. Inashirikiana na viongozi wasio na uadilifu yaani kuwalinda viongozi kwenye wizi na ubadhirifu.
Sifa yao kubwa ni kushika vidagaa na kuwalinda mapapa.
Lengo lilikuwa ni kutafutia Chawa wa CCM ajira1. TAKUKURU ilianzishwa kwa malengo gani? Mwenye kujua tafadhali.
2. Je malengo (angalau moja) ya uanzishwaji wake yametimia?
**Vigezo gani hutumika kupima utendaji bora wa watumishi wa TAKUKURU?