Lengo la kujiunga JF

ThatMan

Senior Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
119
Reaction score
178
Kama kichwa kinavosema hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 26 mjasiriamali wa shughuli ndogo ndogo, ninaishi kwenye chumba kimoja (ghetto) ambacho hakina runinga, kutokana na uhaba wa kuangalia taarifa mbali mbali za habar nikaonelea nijiunge JF ili niweze kupata habar kwa uharaka zaidi ,natanguliza shukrani mnipokee kijana wenu kutoka mkoani nimekuja kwa makonda kutafuta
 
Nilivutiwa na JF baada ya kuona uzi wa unyama wa polisi, ila tangu nijiunge nimebase katika hadithi za Mapenzi hasa za Cocochanel, Shunie na n.k, Mwana jf nayempenda sana ni Max, Mshana, Paskali, Barafu, Nguruvi, JMushi, Invisible,Khantwe, Manengelo, Lala 1, Mwifwa,Ndumula Ndemla,Rooney na wote, Relief Mizarska tupo pamoja na wote ntawataja ,tuenjoy
 
Na mimi nitawafatilia
 
Ahsante sana
 
Ahsante mkuu kwa kuappreciate.

Tutembee pamoja katika jamvi letu
 
Ule uzi wa picha za demu yeyote mkali ulnifanya nijiunge jf [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu huo uzi mbona siuoni siku hizi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…