Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Kama lengo lilikuwa kututisha basi lengo hilo limefeli, kwa taarifa yenu ndiyo kwanzaa kumekucha.
Kama lengo lilikuwa kuficha uovu wenu, hilo pia limefeli mchana kweupe na mtawajibika kwa kila tendo mlilotenda.
Nawahakikishia kuwa HAKUNA atakayesalimika kuanzia aliyewatuma mpaka watekelezaji.
Si mmeona wenyewe kinacho endelea?
Poleni sana.