Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal

Tuwe machoooo. MO asimjibu Manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sababu kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya Manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga.
 
Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal

Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Bulabo hii ni vita ya Mo na bakhresa na chambo ni Manara sema anayeumia ni Manara, hapa matajiri hawa wanaelewana mambo yanaisha sasa huyu kapuku umaarufu wa insta usio na malipo ataishije mjini? Na kuaminiwa na taasisi kubwa itakuwa shida sana kama anatoa nje issue za taasisi wataona ana shida ya uadilifu.
 
Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal

Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Thibitisha tuhuma zako
 
Eti anasema promo zote hakua analipwa, unashangaa mtu unafanya kazi uliyoajiriwa nayo na unalipwa mshahara sasa anataka extra money ya nini
Hivi Simba Kama walimpa mkataba wa mil 4 akagoma analalamika nini tena,yeye ameona matangazo ya Azam ndo yanalipa vizuri Sasa analalamika nini,yeye anataka afanye kazi Azam halafu Simba iwe kama part time
 
Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal

Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Mo kavuliwa nguo achutame.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ni mfu
Mo teyari ana TV rights za premier league kwa miaka kumi pamoja na za kombe la shirikisho.
Labda home match za simba kwenye champions league ambazo hazizidi 15.
 
Back
Top Bottom