Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

Lazima moo atajitutumua kumkomoa Manara kwa kufanya kufuru kwenye usajili ili Simba. Ichukue ubingwa au wafike mbali na kweny afcon
 
Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal

Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Mbona mkutano wa more ulikuwa live
 
Manara kichwa kibovu sana, anadhani Simba watamjibu mipasho yake mpuuzi kweli, anywe maji mengi akubali hayupo Simba tena.
Wamjibu vipi, wakati nasikia huko MUDY, anataka kuwaachia timu, anacheza na akili zenu tu!! Kweli duniani kuna viumbe wa ajabu, yaani nondo zile za Manara unaziita mipasho?!!
 
Lzm moo atajitutumua kumkomoa manara kwa kufanya kufuru kwenye usajili ili Simba. Ichukue ubingwa au wafike mbali na kweny afcon
Heee!! Simba anashiriki afcon toka lini? Sasa amkomoe kivipi, kwani Manara ndio alikuwa anazuia? Jibuni hoja zake
 
Ninapoona wa upande wa pili wanampigia debe Manara abaki Simba nimethibitisha kwamba ni kweli ulichoandika.
Kila siku walikuwa WANAPIGA debe afukuzwe Simba.

Leo kulikoni?
 
Back
Top Bottom