Bulabo hii ni vita ya Mo na bakhresa na chambo ni Manara sema anayeumia ni Manara, hapa matajiri hawa wanaelewana mambo yanaisha sasa huyu kapuku umaarufu wa insta usio na malipo ataishije mjini? Na kuaminiwa na taasisi kubwa itakuwa shida sana kama anatoa nje issue za taasisi wataona ana shida ya uadilifu.Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal
Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Thibitisha tuhuma zakoHoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal
Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Hivi Simba Kama walimpa mkataba wa mil 4 akagoma analalamika nini tena,yeye ameona matangazo ya Azam ndo yanalipa vizuri Sasa analalamika nini,yeye anataka afanye kazi Azam halafu Simba iwe kama part timeEti anasema promo zote hakua analipwa, unashangaa mtu unafanya kazi uliyoajiriwa nayo na unalipwa mshahara sasa anataka extra money ya nini
Mo kavuliwa nguo achutame.Hoja ya manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal
Tuwe machoooo. MO asimjibu manara kama anataka kuendelea na Simba kwa sbb kuna mtego hapo na kundi kubwa nyuma ya manara kufanikisha hili ndio maana watu wengi hasa wanamichezo wanafurahi sana hii saga
Uzuri tumewapa ili wakamtumie vizuriIyo inafahamika Haji anatumika na mahasimu wa Simba.
Jibuni hoja acheni kurukarukaIyo inafahamika Haji anatumika na mahasimu wa Simba.
Manara alikuwa double agent.Manara ni Mnafiki na Mbinafsi, kama kweli ni Simba damu na ameipigania timu muda huo wote kwa nini tena anatamani Simba iharibikiwe?
Hapa mkuu wameenda mbali zaidi ya Simba, waarabu wamekolabu kutaka kumuangamiza Mo kibiashara.Iyo inafahamika Haji anatumika na mahasimu wa Simba.