Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

Lazima moo atajitutumua kumkomoa Manara kwa kufanya kufuru kwenye usajili ili Simba. Ichukue ubingwa au wafike mbali na kweny afcon
 
Mbona mkutano wa more ulikuwa live
 
Manara kichwa kibovu sana, anadhani Simba watamjibu mipasho yake mpuuzi kweli, anywe maji mengi akubali hayupo Simba tena.
Wamjibu vipi, wakati nasikia huko MUDY, anataka kuwaachia timu, anacheza na akili zenu tu!! Kweli duniani kuna viumbe wa ajabu, yaani nondo zile za Manara unaziita mipasho?!!
 
Lzm moo atajitutumua kumkomoa manara kwa kufanya kufuru kwenye usajili ili Simba. Ichukue ubingwa au wafike mbali na kweny afcon
Heee!! Simba anashiriki afcon toka lini? Sasa amkomoe kivipi, kwani Manara ndio alikuwa anazuia? Jibuni hoja zake
 
Hii nayo ni habari lazima tuifuatilie
Nalog off
 
Ninapoona wa upande wa pili wanampigia debe Manara abaki Simba nimethibitisha kwamba ni kweli ulichoandika.
Kila siku walikuwa WANAPIGA debe afukuzwe Simba.

Leo kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…