Lengo la Rais Magufuli kuzuia makinikia ni ili Smelter inunuliwe hapa nchini. Prof. Muhongo alifukuzwa uwaziri kwa kushindwa kununua Smelter

Kimsingi kwenye makubaliano hayo yeye ( Mark) yuko upande wa Barrick na Tanzania ipo upande wa pili. Tunatakiwa kutumia akili ya kuzaliwa tu kuelewa.
Hayo ni maneno tu ya kutongoza, Ulitegemea aseme nini?
Hata hivyo, sijaungana na wanaosema ni makubaliano mabaya kwa sababu sijapata undani wake.
 
Nakubaliliana na wewe hapo kwenye kuamini kila anachopelekewa na TISS. TISS badala ya kuwa TISS hasa, mara nyingi wamekuwa wakifanya kazi kama kikundi cha wambeya. Inatakiwa kusukwa upya, kupewa mafunzo ya weledi maridhawa ili wanapotoa taarifa kwa idara nyingine iwe imesheheni ukweli mtupu.

Kwa sasa, TISS inampotosha sana.
 
Uzuri wote tunakubali kuwa mark katunasua, huyu Ni mwenzetu sio bongozozo, Ni pure Africanized
 
"Magufuli ni mwizi kuliko marais wastaafu wote.

Anachokifanya kwa mawaziri, makatibu na wakuu wa mikoa kawaambia kabisa nyie pigeni lakini mnijulishe na mnipe mgao wangu

Ana kakikundi fulani ivi kazi yake kula nchi."
Aki ya nani?
 
Hivi Prof John L Thornton si ndio mwanzo tulimsifu huyu? Alisema share zitakuwa 50/50 na sasa 16/84?
 
Siasa za Tanzania ni kama upepo. Kuna muda unapiga kutoka huku kwenda kule, na kuna muda unatoka kule kuja huku, ila unabakia kuwa upepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wote tunakubali kuwa mark katunasua, huyu Ni mwenzetu sio bongozozo, Ni pure Africanized
Wewe jamaa una hatari sana. Acha kulaghaika kirahisi kama mwanamke! Yule yupo Barrick na ataendelea kuhakikisha maslahi ya Barrick yanalindwa na mwisho wa mwaka anatakiwa kuwaeleza Barrick alichozalisha. Hatokaa aje kumuelezea Kabudi alichozalisha!
 
Binafsi namfahamu Mark alikuwa akiishi kwenye nyumba ya mama rwechungura pale jirani na tilapia hotel, hivyo Sina Shaka nae na alivyoondoka kwenda congo alimnunulia mama mmoja nyumba isamilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…