Lengo la Uchangiaji wa gari ya Lissu ni shillingi ngapi?

tripof

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2024
Posts
829
Reaction score
1,120
Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
 
Michango yote isimame warudishiwe fedha zao wale wote waliokwishachanga. Mimi nitamnunulia Lissu gari yoyote atakayochagua - brand new.
Kwani huwezi kumnunulia kwanza? Ungekuwa na nia ya kweli ungeshanunua siku nyingi.
 
Sikujua kama anahitaji gari nyingine kwani ninajua kuwa zaidi ya hilo la ubunge alikuwa na magari mengine ya binafsi, na kwa nafasi yake kama Makamu mwenyekiti pia atakuwa na gari ya Chadema. Sasa hivi ninejua kuwa anataka gari ndiyo nimetoa ofa
 
uhuni mtupu alafu wakishamba
Hili suala la kuchanga fedha za kununua gari inaonekana limewakasirisha baadhi ya watu. Watu wanakasirika siyo kwa sababu ya Lissu kutaka kununuliwa gari, la hasha. Wanakasirika kwa sababu ya ''ujumbe'' ulioandamana na huo mchango. Ujumbe wa kulaani wale waliotaka kumuua. Ujumbe wa kuonyesha Lissu anapendwa na watu wengi. Hili litafanya watoaji tuchange kwa moyo zaidi ili kuendelea kuwakarisha wale wasiopenda.
 
Sikujua kama anahitaji gari nyingine kwani ninajua kuwa zaidi ya hilo la ubunge alikuwa na magari mengine ya binafsi, na kwa nafasi yake kama Makamu mwenyekiti pia atakuwa na gari ya Chadema. Sasa hivi ninejua kuwa anataka gari ndiyo nimetoa ofa
Huu mchango wa gari ni zaidi ya mchango wa gari. Ni ujumbe kwa wale waliotaka kumuua. Ni ujumbe wa kuandika historia kwa vizazi vijavyo. Ni ujumbe wa kuonyesha tunathamini anavyotupigania. Hivyo bado una nafasi ya kujazia pengo lote kama uwezo unao japo najua huna hata uwezo wa kununua used vitz.
 
Hili suala la kuchanga fedha za kununua gari inaonekana limewakasirisha baadhi ya watu. Watu wanakasirika siyo kwa sababu ya Lissu kutaka kununuliwa gari, la hasha. Wanakasirika kwa sababu ya ''ujumbe'' ulioandamana na huo mchango. Ujumbe wa kulaani wale waliotaka kumuua. Ujumbe wa kuonyesha Lissu anapendwa na watu wengi. Hili litafanya watoaji tuchange kwa moyo zaidi ili kuendelea kuwakarisha wale wasiopenda.
hii nguvu mngeipeleka walau kwenye ujenzi wa ofisi za chama

shitukeni mnapigwa na huyo mmachame
 
Hii nchi bado ujingaujinga ni mwingi sana. Yaan kabisa unachanga pesa Kwa ajili ya mwanasiasa kununua gari. Miaka yote akiwa bungeni hakuwa hata na akiba au ni lazima aendeshe gari la milioni 500. Mbona zipo gari za milioni 50
 
Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
Kama mchango haukuhusu acha kejeli
 
Kwani ni nani aliyeomba huo mchango?
1; Lissu?
2;Chadema?
3; Viongozi wa Chadema au
4; Wadau na wanaompenda Lissu?

Jibu lako liwe na ushahidi usio tia shaka.
Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
 
Kuchangia fedha kimya kimya si motisha kwa mchangiaji,tunaombwa tujuzwe ni shillingi ngapi zinahitajika kununua gari ili watu wachangie kwa malengo vinginevyo uchangiaji huu hauna afya kwa mchangiaji. hiyo gari ni ya shillingi ngapi?
nadhani uchangiaji huu hauna kikomo, na bilashaka mchango uliombwa utaendelea kukusanywa mpaka pale itakapo tangazwa vinginevyo 🐒
 
Michango kila siku,mchango wa kununua gari mil 600 huku mi mchangaji sina hata baskeli.
Kesho anatoroka tena kwenda Belgium kuomba omba.
 
Back
Top Bottom