Lengo lake huyu dada ni nini?

Dah. Wewe ni bonge la mtunzi hata Shigongo apite mbali. Mimi siyo msomaji wa stori ndefu lakini hii ya kwako nimeisoma hadi mwisho. Halafu muundo uliotumia wa mafungu mafungu na introduction uliyonipigia imenifanya nisichoke kuisoma. Ndio maana siku zote nasema sina mtu yeyote wa kuniweka busy kama JF baada ya kutoka job. Hongera kwa stori nzuri ingawa inafanana fanana na ile ya Prof. Jay ya ZALI LA MENTAL......
 
Kweli we we ni mwanaume wa dar sasa Hapa unatuomba ushauri ili tukushauri Nini kuwa usiende au? Mapema mno ningekuwa sha tia maguu kwake.....
 
yani wewe na yule kaka mwingine anaitwa tangana huwa mnanichekesha mno na story zenu.
 
Ha ha ha ha ha ha ..yaan ww bana....unavsanga kila siku..msalimie jiran..m nipo nyuma ya banda la mkaa hapa kwa mama ethan.
 
UNA UHAKIKA MKUU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…