Lengo lake huyu dada ni nini?

Lengo lake huyu dada ni nini?

Sasa hujaenda kula unatuuliza huyu dada nia yake ni nini? Sasa sie tutabiri? Wewe nenda kula msosi kisha akikupa na yale mambo yetu kula kisha lala hapo hapo, kukikucha kula morning glory kisha mwambie akuachie lakimoja unashida nayo alafu muulize nia yake ni nini. Baada ya hapo sasa njoo hapa tujadili nia yake kama yafaa au la
TUIJADILI NIA YAKE MAPEMA KWANZA MKUU.
 
"Tell me boy..."

Una umri gani? nanusa harufu ya kusajiliwa timu ya vijana..Serengeti boys.
 
"Tell me boy"

Una umri gani mkuu? nahisi dalili za kusajiliwa timu ya vijana #serengeti
 
Dah. Wewe ni bonge la mtunzi hata Shigongo apite mbali. Mimi siyo msomaji wa stori ndefu lakini hii ya kwako nimeisoma hadi mwisho. Halafu muundo uliotumia wa mafungu mafungu na introduction uliyonipigia imenifanya nisichoke kuisoma. Ndio maana siku zote nasema sina mtu yeyote wa kuniweka busy kama JF baada ya kutoka job. Hongera kwa stori nzuri ingawa inafanana fanana na ile ya Prof. Jay ya ZALI LA MENTAL......
MKUU
VISA HALISI NA VYENYE MASHIKO KAMA HIVI YABIDI VIANDIKWE NA KWENYE MAGAZETI PENDWA PIA.

TUSAIDIANE CONNECTION YA WATU WA MAGAZETI HUSIKA KABISA.
 
Hhaaaahhaahahaha seneta aka mwanaume WA Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom