Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
- Thread starter
-
- #41
SI KWA NIA MBAYA,"nikuandalie chips kama wanaume wa dar es salaam" ahahaha unawachokoza
NI VIPENGELE MUHIMU MKUU.Ha haaaa,,mwanangu unasimulia step by step hadi livyoshuka na kufungua geti...we noma...
TUIJADILI NIA YAKE MAPEMA KWANZA MKUU.Sasa hujaenda kula unatuuliza huyu dada nia yake ni nini? Sasa sie tutabiri? Wewe nenda kula msosi kisha akikupa na yale mambo yetu kula kisha lala hapo hapo, kukikucha kula morning glory kisha mwambie akuachie lakimoja unashida nayo alafu muulize nia yake ni nini. Baada ya hapo sasa njoo hapa tujadili nia yake kama yafaa au la
CHANGAMOTO SANA MKUU.Una matukio mengi hadi raha....
UANDISHI MZURI NI MUHIMU SANA KATIKA UWASILISHAJI.Nimeipenda bure na ulivoandika kwa vifungu humchoshi msomaji
NDOTO GANI MKUU?Ndoto za alinacha...pole yako kjana
NANI KASEMA NI YA UONGO.Kastory kauongo lakini kinanogesha JF.
USINGIZI UPI MKUU?Mkuu....
Pole kwa usingizi na ndoto murua aiseeee...[emoji12]
KIPENGELE KIPI MKUU?hebu fanya ku-screenshot kwanza niamini
NI CHANGAMOTO SANA MKUU.Hahahahahahaaaa mwisho wa habari umenichekesha bin kunifurahisha hehehehehehee
MKUUDah. Wewe ni bonge la mtunzi hata Shigongo apite mbali. Mimi siyo msomaji wa stori ndefu lakini hii ya kwako nimeisoma hadi mwisho. Halafu muundo uliotumia wa mafungu mafungu na introduction uliyonipigia imenifanya nisichoke kuisoma. Ndio maana siku zote nasema sina mtu yeyote wa kuniweka busy kama JF baada ya kutoka job. Hongera kwa stori nzuri ingawa inafanana fanana na ile ya Prof. Jay ya ZALI LA MENTAL......
ZIPI MKUU?Kweli hizi ni ndoto asee
USHAURI JUU YA NIA YAKE NI MUHIMU SANA MKUU.Nenda kale kwanza afu ukirudi tuambie kilichojiri
MIMI SIO MWANAUME WA DAR ES SALAAM,Kweli we we ni mwanaume wa dar sasa Hapa unatuomba ushauri ili tukushauri Nini kuwa usiende au? Mapema mno ningekuwa sha tia maguu kwake.....
PART TWO IPI MKUU??noma sana! part two lini,?