Lengo lake huyu dada ni nini?

Hongera class mate seneta mtz.....

Kijana from mtwara
 
Chai sema hii umetia na tangawizi na mdalasini duh[emoji1] [emoji2] [emoji13]
 
Aisee Watanzania tuna nia tofauti na mwenye nchi.Daaah,kila kitu maigizo tu.
Story haina connection...!
 
Matukio mengi halafu yamejengwa ndani ya muda mchache kitu ambacho hakileti uhalisia kwa hadhira yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…