Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili.
Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio.
Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi eneo gani.
Na kama habari ikiweza kusambazwa hata CCTV zijaona lakini wote mliopo na CCTV kulingana na taarifa zenu mtafanywa kama ile tume ya mchongo ya samuya.