Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ( BIBI ) lengo kuu la operation ya kijeshi inayoendelea huko Gaza ni kuifuta Hamas ili isije kuwa hatari kwa Israel tena.
Gaza sasa itakuwa chini ya Milika ya Israel tena alipoulizwa je yuko tayari kurusu Majeshi ya kimataifa kuweko huko Gaza? Alisema jeshi linaloweza kufanya nzuri huko ni IDF tu waLa si Jeshi lingine!!