Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Saaana sanaR. I. P mwamba, najua ungekwepo moto ungewaka. [emoji24][emoji24][emoji24]
Alishindwa Mtikila kuitoa CCM ndiyo waje hawa kajamba nani akina Mdude_Nyagali na Malaya wa siasa Slaa na MwabukusiAsubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila...
[emoji2956][emoji2956]Alishindwa Mtikila kuitoa CCM ndiyo waje hawa kajamba nani akina Mdude_Nyagali na Malaya wa siasa Slaa na Mwabukusi
MIAKA MINANE sawa na MIAKA MINNE AU MIAKA MITATUAsubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.
Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.
Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
Inasemekana kuwa ajali ile ilipangwa na mmoja wa viongozi toka nchi za maziwa Makuu kisa kikisemwa ni kumtuhumu Mkuu huyo kuingiza Mamluki Tanzania, Inasemwa kuwa ajali hiyo ilipangwa.....Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.
Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.
Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
mr slim, uongo?Inasemekana kuwa ajali ile ilipangwa na mmoja wa viongozi toka nchi za maziwa Makuu kisa kikisemwa ni kumtuhumu Mkuu huyo kuingiza Mamluki Tanzania, Inasemwa kuwa ajali hiyo ilipangwa.....
Minong'ono ya kwenye mabenchi ya wabugia kahawa.Wana ushahidi?Walijua hayo lini?Kabla au baada ya ajali?Kama ni kabla,kuna juhudi zozote za kuzuia walifanya?Kama ni baada ya ajali wamefanya nini kumuadhibu muhalifu?🤔mr slim, uongo?
Minong'ono ya kwenye mabenchi ya wabugia kahawa.Wana ushahidi?Walijua hayo lini?Kabla au baada ya ajali?Kama ni kabla,kuna juhudi zozote za kuzuia walifanya?Kama ni baada ya ajali wamefanya nini kumuadhibu muhalifu?
Naam Naam Naam! Very painful 😖Inasemekana kuwa ajali ile ilipangwa na mmoja wa viongozi toka nchi za maziwa Makuu kisa kikisemwa ni kumtuhumu Mkuu huyo kuingiza Mamluki Tanzania, Inasemwa kuwa ajali hiyo ilipangwa.....
Vyovyote vile ni sahihiMlikuwa mnamuunga mkono?Au ndiyo "kufa usifiwe"?
SEMA KWELI. Kwamba nimekosea?MIAKA MINANE sawa na MIAKA MINNE AU MIAKA MITATU
huwezi kusema MIAKA NANE au NNE au MIAKA TATU
TUTUNZE KISWAHILI CHETU
Hata Goliath aliuwawa na Kijana Mdogo Kwa jiweAlishindwa Mtikila kuitoa CCM ndiyo waje hawa kajamba nani akina Mdude_Nyagali na Malaya wa siasa Slaa na Mwabukusi
Nani alimtwaa. Mi navyojua alijitwaa mwenyeweAsubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.