Leo 4 October Mch. Mtikila ametimiza miaka Nane tangu atwaliwe

Asubuhi ya Tarehe 4Th October 2015 zilisambaa taarifa za ajali na Kwamba ajali hio ilichukua uhai wa Mchungaji Christopher Mtikila.

Angekuepo Leo hii tungekua tunaongea mengine kuhusu DP WORLD. Huyu Mzee Alikua Jeshi la MTU mmoja na mshauri Mkuu akiwa Mke wake. Wote waliwahi kufungwa.... alikua na uwezo wa kuandamana peke yake.

Thread 'Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani' TANZIA - Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani
RIP Rev. Chrisopher Mtikila
 
shujaa na mtanganyika halisi
 
Safi sana
 
shujaa na mtanganyika halisi
Mropokaji ndo shujaa? Halafu alikuwa mpigaji. Alikopeshagwa million 9 tu akataka kumdhulumu jamaa akamzungushaa. Jamaa akampeleka mahakamani. Mahakama ikamiamuru amlipe jamaa akaendelea kumzungusha jamaa kumuonyesha madharau na matusi juu. Mahakama ikamuamuamuru apelekwe jela na kumlipa banda ya iyo amri ndio akamlipa.

Eti huyo naye anaitwa shujaa. Shujaa my foot.
 
Alipohamia mgombea binafsi na alipofungua kesi mahakama ya Afrika Kuna taasisi moja yenye kupenda sofa ikajiunga naye, angekuwepo tungekuwa na wagombea binafsi tukaachana na utapeli wa vyama na Hawa wanaojiita machawa.
 
Hahahahaahaha
 
Back
Top Bottom