Leo 4 October Mch. Mtikila ametimiza miaka Nane tangu atwaliwe

RIP Rev. Chrisopher Mtikila
 
shujaa na mtanganyika halisi
 
Safi sana
 
shujaa na mtanganyika halisi
Mropokaji ndo shujaa? Halafu alikuwa mpigaji. Alikopeshagwa million 9 tu akataka kumdhulumu jamaa akamzungushaa. Jamaa akampeleka mahakamani. Mahakama ikamiamuru amlipe jamaa akaendelea kumzungusha jamaa kumuonyesha madharau na matusi juu. Mahakama ikamuamuamuru apelekwe jela na kumlipa banda ya iyo amri ndio akamlipa.

Eti huyo naye anaitwa shujaa. Shujaa my foot.
 
Alipohamia mgombea binafsi na alipofungua kesi mahakama ya Afrika Kuna taasisi moja yenye kupenda sofa ikajiunga naye, angekuwepo tungekuwa na wagombea binafsi tukaachana na utapeli wa vyama na Hawa wanaojiita machawa.
 
Hahahahaahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…