Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Kenge mjinga sana. Akiona mvua anakimbiloa mtoni kwenye maji ili asilowanishwe na mvua
.....anyway Happy Kenge's day!
Kenge ni mjinga!Nakumbuka siku moja kuna kenge alikua anavuka barabara ya Lami, alivuka vzuri tu ila kwenye zile kingo za barabara alishindwa kupanda na kwakuwa alituona sisi tunapita yaani tunaelekea lilipo basi likarudi barabarani tena likawa linataka kukimbilia kwenye uvungu wa Coast iliyokua anatembea, likakutana na tyre la Gari likatupasuliwa utumbo wote nje. Jamaa mmoja alikuwa nyuma yangu alisikitika sana kwamba huyu kenge mjinga sana yaani alikuwa keshavuka kabisa ila kwa upumbavu wake wa kuogopa watu amejipeleka kwenye kifo. Aisee mtu akikutukana kuwa Huna akili kama Kenge! Kajinyonge ni tusi baya sana.
DefinitelyKenge ni mjinga!
Ulitaka ajue sheria za barabarani ndo asiwe mjinga?Kenge ni mjinga!
Ndio !Ulitaka ajue sheria za barabarani ndo asiwe mjinga?
Ulitaka ajue magari?
Duh!...Ifike wakati Kenge awe Nembo yetu ya taifa badala ya twiga.
Wishing you Happy and prosperous Kenge day!
Kosa siyo la kenge,kosa ni binadamu anayempiga pasipo sababu,aliwaza na nyie na walewale,mlitakiwa kumsaidia kwa kujifsnya hamna habari naye au kusimama tu!!Nakumbuka siku moja kuna kenge alikua anavuka barabara ya Lami, alivuka vzuri tu ila kwenye zile kingo za barabara alishindwa kupanda na kwakuwa alituona sisi tunapita yaani tunaelekea lilipo basi likarudi barabarani tena likawa linataka kukimbilia kwenye uvungu wa Coast iliyokua inatembea, likakutana na tyre la Gari likapasuliwa utumbo wote nje. Jamaa mmoja alikuwa nyuma yangu alisikitika sana kwamba huyu kenge mjinga sana yaani alikuwa keshavuka kabisa ila kwa upumbavu wake wa kuogopa watu amejipeleka kwenye kifo. Aisee mtu akikutukana kuwa Huna akili kama Kenge! Kajinyonge ni tusi baya sana.
Na yupo kazini huyoAisee.
Hawajui!Kenge wenyew wanajua leo siku Yao?
Nakumbuka siku moja kuna kenge alikua anavuka barabara ya Lami, alivuka vzuri tu ila kwenye zile kingo za barabara alishindwa kupanda na kwakuwa alituona sisi tunapita yaani tunaelekea lilipo basi likarudi barabarani tena likawa linataka kukimbilia kwenye uvungu wa Coast iliyokua inatembea, likakutana na tyre la Gari likapasuliwa utumbo wote nje. Jamaa mmoja alikuwa nyuma yangu alisikitika sana kwamba huyu kenge mjinga sana yaani alikuwa keshavuka kabisa ila kwa upumbavu wake wa kuogopa watu amejipeleka kwenye kifo. Aisee mtu akikutukana kuwa Huna akili kama Kenge! Kajinyonge ni tusi baya sana.
Aaah we jamaa are you serious hivi ukimwona chui kanasa kopo kichwani utadhubutu kumtoa kweli japo unania njema ya kumsaidiaKosa siyo la kenge,kosa ni binadamu anayempiga pasipo sababu,aliwaza na nyie na walewale,mlitakiwa kumsaidia kwa kujifsnya hamna habari naye au kusimama tu!!
Unataka kusema nini ndg? Sisi tulikua tunapita Service Road yaan mkabala na ule mto Msimbazi,sasa ulitaka tufanyeje kwa mfano? Tusimame hadi apande pale kwenye ile kingo? Mkuu yule kenge angekua na akili angepita pembezoni mwa barabara na siyo kukimbilia uvunguni mwa Gari inayotembea tena kwa speed na hatimae kupasuliwa tumbo. Hebu Acha ukenge mkuuMbona kama wewe na huyo jamaa ndio mlikosa akili kwa kumuona mnyama aliyenyimwa utashi kua hana akili?
Kwa maelezo haya imedhihirisha wewe ni hamnazo kabisaaa, kheir hata yule Kenge aliyejaribu kuvuka barabara kwa mara nyingine.....Unataka kusema nini ndg? Sisi tulikua tunapita Service Road yaan mkabala na ule mto Msimbazi,sasa ulitaka tufanyeje kwa mfano? Tusimame hadi apande pale kwenye ile kingo? Mkuu yule kenge angekua na akili angepita pembezoni mwa barabara na siyo kukimbilia uvunguni mwa Gari inayotembea tena kwa speed na hatimae kupasuliwa tumbo. Hebu Acha ukenge mkuu
Mkuu weka wazi ulitaka tufanyeje.Kwa maelezo haya imedhihirisha wewe ni hamnazo kabisaaa, kheir hata yule Kenge aliyejaribu kuvuka barabara kwa mara nyingine.....
Jikague kama mkia haujakuota