Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Wakat wachezaji wa Stars wakiwa wamesharudi kwenye vilabu vyao kwa ajili ya kukamilisha ligi ya NBC, wenzetu Algeria Leo wanashuka dimbani kucheza na Iran kwenye mechi ya kirafiki, halafu tunataka kufukuza kocha kwa kufungwa na Algeria, wenzetu wako serious na mpira, sisi tuko serious kuwagombea akina na Aziz Ki na wenzao ambao hawana msaaada wowote ule kwetu.