Leo Algeria inacheza na Iran friendly match huku Stars ikiwa imesambaratika

Leo Algeria inacheza na Iran friendly match huku Stars ikiwa imesambaratika

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Wakat wachezaji wa Stars wakiwa wamesharudi kwenye vilabu vyao kwa ajili ya kukamilisha ligi ya NBC, wenzetu Algeria Leo wanashuka dimbani kucheza na Iran kwenye mechi ya kirafiki, halafu tunataka kufukuza kocha kwa kufungwa na Algeria, wenzetu wako serious na mpira, sisi tuko serious kuwagombea akina na Aziz Ki na wenzao ambao hawana msaaada wowote ule kwetu.
 
Kichwa cha mwendawazimu
Hii laana ya mzee mwinyi haitakaaa ituache salama
Toka 1993 mpaka leo bado na bado sana
 
Hakuna namna, tunatakiwa tumalize mashindano yetu.

Yote yamesababishwa na TFF
 
Back
Top Bottom