Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Taahira yupo mmoja tu na kafanikiwa ktoa kopi zake nyingi za kujifanya sio mataahira ila ukweli Sasa upo wazi kuwa taahira na hayawani anahanja ili abakie pale asipotakiwa.Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Mimi ni mfuasi wa Mwalimu. Ila kwenye baadhi mambo aliyofanya wakati alipokuwa Rais, hata sikubaliane nayo!Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii tunasikia Chadema watazuiwa kushiriki Uchaguzi.
Bado tunasubiri kuona uamuzi huu una maana gani.
Je Tundu Lissu atabadili mawazo na kusaini kanuni za maadili even though it is late.
Au G- 55 watafanya dili na INEC ili ishiriki Uchaguzi.
Au,watia nia Chadema watakwenda Chausta?
Mungu atuongoze tujadiliane with reason.
G55 wanakwenda kwa msaliti mwenzao huko 🚮.Hawa waasisi wa Taifa hili wamekuja wamekwenda.
Tuna wajibu wa kudumisha amani waliyotuachia.
Kama yupo taahira,punguani,muovu, anayetaka kuvuruga amani ya nchi,bado tuna wajibu wa kudumisha amani ya nchi.
Kwamba yupo punguani alitaka kuleta vurugu isiwe kisingizio cha kuleta maafa.
Leo hii tunasikia Chadema watazuiwa kushiriki Uchaguzi.
Bado tunasubiri kuona uamuzi huu una maana gani.
Je Tundu Lissu atabadili mawazo na kusaini kanuni za maadili even though it is late.
Au G- 55 watafanya dili na INEC ili ishiriki Uchaguzi.
Au,watia nia Chadema watakwenda Chausta?
Mungu atuongoze tujadiliane with reason.
Ingekuwa vizuri kama INEC wangeacha milango wazo kwa mwanachadema yeyote anayetaka kugombea Uchaguzi kwa masharti hayo yaliyoandikwa kwenye hiyo fomu.
Ingekuwa vizuri kama Chadema wangeacha paranoia.
ACT Wazalendo watafanya kosa kubwa kuwapokea watu ambao hawaamini katika itikadi ya chama bali wanafuata Ubunge na udiwani tu.