Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Ndo manchesta hawa. Huyu kaanzisha uzi halafu kaususa hana habari nao tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Muanzisha uji kalala mbele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EPL daima itakuchania mikeka. Ni ligi isiyotabilika.Mkeka ushachanika.
Mimi nilijua arsenal atapata ushindi leo kwa kuwa hata man u ni mbovu ila kwa sasa arsenal imeimarika kwani hata come back ya Chelsea kipindi cha majeruhi kwa arsenal ni makosa ambayo kocha alishayaona na ameyafanyia kazi tayari.Mabao ya alkasusu ,nyumbu kakimbia na chupi kichwani.
Watu watakalia majani maana mikeka yote imeshachanikaHawa Arsenal wajinga sana wamechana mikeka ya watu
Hakika mkuu,hii Ligi ni ngumu na wiki nzima napigwa na unakuta mechi.moja ndio inanichania mkeka
Ulikuwa unaozungumzia Arsenal ya Tanangozi au ya kimara bonyokwa?Mwaka Huu arsenal asiposhuka daraja wamshukuru Mungu naona kabisa kwa style playing yao nirahisi Sana kufungwa na Man u labda tu wabadilishe aina yao ya uchezaji ukiachana na Hilo beki yao ni mbovu Sana.
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Ulikuwa unaozungumzia Arsenal ya Tanangozi au ya kimara bonyokwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa unaozungumzia Arsenal ya Tanangozi au ya kimara bonyokwa?
Sent using Jamii Forums mobile app