Leo Arsenal atafungwa na Man U

Leo Arsenal atafungwa na Man U

Mabao ya alkasusu ,nyumbu kakimbia na chupi kichwani.
 
Mabao ya alkasusu ,nyumbu kakimbia na chupi kichwani.
Mimi nilijua arsenal atapata ushindi leo kwa kuwa hata man u ni mbovu ila kwa sasa arsenal imeimarika kwani hata come back ya Chelsea kipindi cha majeruhi kwa arsenal ni makosa ambayo kocha alishayaona na ameyafanyia kazi tayari.

Man u alikuwa na uwezo wa kutufanyia kama Chelsea lakini alishindwa na zaidi akaongezwa kwa kuwa huyu kocha harudii makosa na yuko active.
Next game Chelsea kwao wasubiri kisasi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom