Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe kwanza first eleven ya kila kikosi Leo ndio uchambuzi wako uendelee🙇🙇🙇Mwaka Huu arsenal asiposhuka daraja wamshukuru Mungu naona kabisa kwa style playing yao nirahisi Sana kufungwa na Man u labda tu wabadilishe aina yao ya uchezaji ukiachana na Hilo beki yao ni mbovu Sana.
vip hali yako huko ulipoArsenal leo atafanikiwa kushinda na njaa
GGMU
Mkeka ushachanika.Arsenal leo atafanikiwa kushinda na njaa
GGMU
Hali yangu iko poa tu, naona leo mgonjwa kanywa uji.
AiseeeMkeka ushachanika.
We mjukuu wa sheikh Yahya hukuwa unamsikiliza babu yako vizuri,ona sasa unavyoumbukaMwaka Huu arsenal asiposhuka daraja wamshukuru Mungu naona kabisa kwa style playing yao nirahisi Sana kufungwa na Man u labda tu wabadilishe aina yao ya uchezaji ukiachana na Hilo beki yao ni mbovu Sana.