Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana Temeke na viunga vyake.
Hata mtaa wa mnduku buku uko Temeke. Yaani unapewa nyuma kwa buku tu.
Wazazi wa Temeke hizi madrasa zinasaidia nini ikiwa hao watoto wakikua wanageuka panya road na wadada poa?