M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
Imani ni chombo cha dununisha maisha ya watu, kwa kufunga fahamu zao.Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu, miongoni mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazileti impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana Temeke na viunga vyake.
Hata mtaa wa mnduku buku uko Temeke. Yaani unapewa nyuma kwa buku tu.
Wazazi wa Temeke hizi madrasa zinasaidia nini ikiwa hao watoto wakikua wanageuka panya road na wadada poa?
Fahamu zikirudi, na muda umekwenda. Wanakuja kugundua kuna majukumu hayakwepeki na hayapatikani bila pesa.
Wanakuja kugundua huwezi nunua sukari kwa kusikiliza mawaidha ya shehe mazinge!
Ngono inakuwa kitegeauchumi pekee cha kutegemea.
Wengine ndio hao wanajazana kwa mwamposa kutafuta uwezo wa kulipa bili za maisha.