Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sio kweliMKuu Dar ni mji wa waislamu, kama pamekushinda rudi Nyumbani
Wanawapa maarifa ya mabikra 72 aheraKwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu Muong mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazilet impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana Temeke na viunga vyake.
Wazazi wa Temeke hizi madrasa zinasaidia nini ikiwa hao watoto wakikua wanageuka panya road na wadada poa?
Kwa uzoefu wangu wilaya ya Temeke ndio inaongoza kwa tabia chafu Muong mwa vijana wa Dar es salaam. Vijana wakabaji wako Temeke, wadada wasio na kazi maalumu wako Temeke. Yet madrasa kama utitiri.
Hizi madrasa mbona hazilet impact miongoni mwa jamii ya Temeke (Tandika). Ushoga mwingi sana Temeke na viunga vyake.
Wazazi wa Temeke hizi madrasa zinasaidia nini ikiwa hao watoto wakikua wanageuka panya road na wadada poa?
Huko si ndiko wamebaka huyu binti? Shame upon them.
Kote huko ni Temeke.Njoo yombo na kiwalani utachoka kuzihesabu.
Kama una nguvu sogea ukahesabu madrassa za mbagala, chamazi na mbande
Hehehehe π π π π
DR HAYA LAND aje ajibu
Ajabu viongozi kama vile wabunge na madiwani wengi wao wakristuMKuu Dar ni mji wa waislamu, kama pamekushinda rudi Nyumbani