Leo asubuhi nimezunguka mitaa kadhaa wilaya ya Temeke, kuna madrasa kila kichochoro

Imani ni chombo cha dununisha maisha ya watu, kwa kufunga fahamu zao.
Fahamu zikirudi, na muda umekwenda. Wanakuja kugundua kuna majukumu hayakwepeki na hayapatikani bila pesa.
Wanakuja kugundua huwezi nunua sukari kwa kusikiliza mawaidha ya shehe mazinge!
Ngono inakuwa kitegeauchumi pekee cha kutegemea.
Wengine ndio hao wanajazana kwa mwamposa kutafuta uwezo wa kulipa bili za maisha.
 
Na maendeleo hamna kazi kucheza vigodoro ,kusutana na uvivu
 
Kwa kiasi kidogo ninakaa wilaya hiyo huwezi kufananisha na wilaya zingine , most of them are un successful kwa kila jambo
 
Mbona Pub zipo kibao acheni unaa.
Yote tisa, kumi madrasa (chuo) wanagonga fimbo watoto ni hatari. 😁
 
Kwani humo humo madrasa si ndimo wanafundushwa ushoga na kulawitiana mkuu?
 
Wanaofanya uchafu Temeke ni wahamuaji WA Kihaya "Mabwenga". Na wengine wasio na wazazi!

Umewahi kufika Mafiati na Mama John Mbeya?
Kuna makanisa kila baada ya nyumba mbali, vilabu vya pombe chafu kila baada ya nyumba. Hakuna huduma ya kishetani haipatikani hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…